kuna mambo hapo juu kwenye hii Cv kidogo yananipa shida. naomba wadau mliosoma zamani mnisaidie. je miaka ya nyuma Elimu ya Msingi ilikuwa miaka mi tatu?
| Huyu mama Dr.Lwakatare alisoma Ifakara Girls Primary School | alianza mwaka 1962 | na kumaliza 1965 | . |
pia nisaidien je elimu ya sekondari A level ilikuwa mwaka mmoja ? Maana yeye CV yake inaonesha
| Korogwe Girls' High School | A-Level Education | alianza 1970 | na kumaliza 1971 | HIGH SCHOOL |
Degree miaka ya nyuma zilikuwa zinasomwa kwa miaka mingapi? maana yeye alisoma mwaka mmoja tu
| Eastern & Southern Africa Management Institute | BA(Mass Communication) | alianza mwaka 1982 na kumaliza | 1983 |

