Mwingizaji  wa filamu mwenye vituko, Salma Jabu  ‘Nisha’ alibandika picha yake  matandaoni ikimuonyesha jinsi alivyo mnono kwa sasa na kuandika  haya;
"Dah  mbona km sijielewi au sio mm??? Ok nimekumbuka chips za mpemba zinafanya  kazi dah!!!sa mbona nanenepa kimasogangee masogange mhhhh si kwa kibuno hiko loool.. niacheni nijiambie mwnyw maana mtakua hamnambii."
Usikose filamu mpya ya mkali huyu, inayokwenda kwajina la SHIDA amabayo siku ya kesho inaingia sokoni.
