Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

ALIYEKUWA MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ ANENA MAZITO KUHUSU MSNII HUYO


Papa Misifa ( wa pili kutoka kulia) akiteta jambo na Cassim Mganga
Meneja wa zamani wa Diamond Platnumz, Msafiri Misifa maarufu kama Papa Misifa, amesema wasanii wengi wanashindwa kuendelea kutokana na kushindwa kuhifadhi wanachokipata.
Papa Misifa aliyewahi pia kuwa meneja wa Dully Sykes na Cassim Mganga, ameiambia Bongo5 kuwa Diamond ni msanii pekee aliyeweza kufuata mafunzo yake na ndio maana anaendelea kufanikiwa mpaka sasa.
“Tatizo kubwa wasanii sana wanapopata riziki wanashindwa kujipangilia. Na mafunzo mengi niliyompa Diamond ndo maana mpaka leo anajua kujipangilia mpaka pale alipofika. Wasanii wanashindwa kupangilia pesa zao. Tatizo wanapopata pesa wanabadilika. Ukitaka kujua tabia ya mwanadamu ngoja apate pesa ndo utajua tabia yake,” amesisitiza.
“Wasanii wengi hawalengi kufanya vitu vya maendeleo, wanalenga kufanya starehe kwenye baa. Ndio maana watu wanasema wanamuziki wa zamani wamefulia ni kweli kwa sababu hawakujipanga. Hawakutambua kesho yao, wewe unafikiri kwanini Diamond anaiogopa kesho yake? Ni kutokana na maisha yalivyo ukipata nafasi itumie ipasavyo.”

ZARI AMPEKUA DIAMOND PLATNUMZ IKULU KUCHEKI USALAMA WA MALI ZAKE


Mjini Msingi kiuno , Kauli inayodhihirishwa na Zari hapa kwenye hizi picha , Zari amenaswa na mpiga picha wa Diamond akikagua mali zake kama zipo salama ..


ANGALIA DIAMOND ALIVYOMKAMATA "KALIO" ZARI THE BOSS LADY, NDO HABARI YA MUJINI.


Diamond Platinumz amedhihirisha ile research ya Uswaz iliyosema kwamba now days wanaume wanahusudu sana Makalio, na ikafika kipindi hawatajali how and where watayafanyia yao makalio hayo, jionee mwenyewe hiyo pic jinsi Diamond Platnumz alimvomkamata Kalio Mp3nz wake, Zari the Boss Lady...

DIAMOND AELEZA KWANINI ALISHINDWA KUFIKA MSIBANI KWA BABA YAKE DULLY SYKES



Diamond Platnumz ni miongoni mwa
marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes
ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba
yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza
kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu
ambazo amezitoa leo.
Diamond ambaye wakati msiba huo
unatokea alikuwa Zanzibar na mp3nzi wake
Zari, ameelezea sababu zilizomfanya
kushindwa kuhudhuria mazishi.
“Watu waliniona niko zanzibar lakini
walikuwa hawajui nimeenda kufanya nini,”
Diamond
ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM.
“Usiangalie kila unachokiona Instagram
ukajua mtu labda kwasababu alikuwa


anafanya starehe. Niko katika kipindi
ambacho sio kizuri kwangu mimi na familia
yangu kwasababu kuna vitu ambavyo siwezi
kuvizungumza lakini, na siwezi kuviweka
kwenye media ndo maana watu wengine
wanaweza kuniona nacheka lakini […
kwanza mama yangu anaumwa na anaumwa
sana sijawahi kulizungumza hili ndo
nalizungumza hapa, hapa ninapoongea na
wewe yupo India, kuna vitu vingi
vinaendelea, siwezi kusema nilikuwa
Zanzibar nafanya nini, inawezekana ikawa
ndo sababu iliyonifanya mpaka mimi
nikachelewa kwenda kwenye msiba, lakini
inawezekana labda mimi ndio nilikuwa mtu
wa kwanza kutoa pole katika social networks
zangu mimi.”
“Unajua wakati mwingine ni vizuri kwenda
kuzika lakini inawezekana mtu akawa
ameenda kuzika lakini mi nikawa sijaenda
kuzika nikawa nimefanya kitu cha maana
kuliko wale walioenda kuzika kwasababu
huwezi kujua nilifanya kitu gani. Nilisikia
niliambiwa watu walikuwa wanongea sijui
Diamond hajafika lakini naamini kuna watu
wengi hawakufika na kila mtu hakufika kwa
sababu fulani. Dully mi ni kama kaka yangu
kabisa ni mtu ambaye amenisaidia vitu vingi
sana isingewezekana kabisa niko ninanafasi
nishindwe kwenda kwenye msiba.”
“Ukiacha tu Dully mwenyewe kwanza mtu
aliyefariki ni kama mzee wangu, na mtu
ambaye amefanya kitu kikubwa katika sanaa
hii ya muziki na mimi nimefika hapa yeye
pia ana mchango wake, so haikuwa rahisi eti
mimi nisiende tu nikiwa sina sababu,
kulikuwa na sababu na ndio maana.”
Alimaliza Diamond.

DIAMOND PLATNUMZ AFUNIKA KWA MATUMIZI SIKU YA WAPENDANAO


Akothee, a sensational kenyan artist made to the headlines after she spent a bank during valentines day. Yes, she spent awesomely that she was featured in Bongo5, a Tanzanian leading blog. Akothee spent a whooping 40k per hour to hire a limousine for 5 hours making it 2ook.

This is in exclusion of what she spent on other things that day.Her expenditure, according to Bongo5 was far beyond that of Tanzania music star Diamond Platnum who was spending his valentine with his Ugandan hot
girlfriend Zari at Island of Zanzibar. below are photos of Akothee during valentine


DIAMOND KUBEBA MAPOCHI YA ZARI THE BOSS LADY, NI MAHABA AU UTUMA WA PESA


 
Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba mp3nzi wake Zarri The Boss Lady, wambea washaanza kuongea, kwamba jamaa hanajinsi maana kazidiwa ki mkwanja na mrembo huyo. 
Wengine wakasema ni Mahaba tu... jiulize je wanaume wangapi tunaliweza jambo hilo


DIAMOND AMEANZA KUNUNUA MIDOLI KWA AJILI YA MTOTO WAKE NA ZARI THE BOSS LADY


Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza kununua vitu vya

kuchezea (Toys) vya mtoto pindi atakapozaliwa.......Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:

WAKATI DIMPOZ NA DIAMOND WAKIZUZUKA NA "MAHABA NIUE" ALLY KIBA ANAJIFUA KU POFERM LIVE ZANZIBAR


Wote wa nyumbani Kigoma, ijui kinawasibu nini watu wangu hawa, any way, Ally Kiba yupo Zenzi anajifua ku perform live kwenye tamasha la sauti za busara, wacha wale wazuzuke na Map3nzi yeye kazi zaidi. Angali Picha zaidi hapa chini.















Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga