Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

» » » » Maskini, Msichana wa Chuo Akutwa Amefariki katika Nyumba ya Kulala Wageni.





Msichana Aliyetambuliwa kwa jina la Florence Ngwu, Mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nigeria Amepatwa na Umauti Katika Hotel Moja Mjini Lagos, Nigeria. Mwili wa Msichana Huyo Ulikutwa sakafuni.

Mpaka Sasa hakuna taarifa za ziada zilizotolewa, pia haijajulikana ni kitu gani kilimtoa Chuoni na Kwenda Lagos.


About Unknown

Habari karibu katika Blog hii, Tafadhali Like Page Yetu na Toa Maoni yako kuhusiana na kile unachokiona humu.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga