Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

Mwakilishi wa BBA Kuhukumiwa Kifungo kwa Kufanya Mapenzi Hadharani

--> Betty, ambaye ni mwakilishi wa BBA The Chase Kutoka Nchini Ethiopia anaandaliwa mashtaka yake ambayo yatamkabili pindi akirudi nchini kwao kutokana na kitendo chake cha kufanya mapenzi ndani ya jumba hilo huku akionekana katika television, kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hiyo.

Kwa mujibu wa Redio moja nchini humo, Jopo la wanasheria wameshamfungulia mashataka mahakamani na wanamngojea arudi.

Agongwa na Treni sababu ya Kuweka Head Phones Masikioni.













Jamaa mmoja amekubwa na mkasa wa aina yake pale alipogongwa na treni ambayo ilikuwa na kazi kubwa ya kumpggia honi ili atoke pembezoni mwa reli alipokuwa akitembea. Walioshuhudia tukio hilo wamesema treni hiyo ilipiga honi lakini jamaa alikuwa ameweka Head phones masikioni. Baada ya kupatiwa huduma ya kwanza, alipekwa hospitalini kwani yawezekana ameumia kwa ndani.

Mama Selly Asema mwanae Hakufanya Mapenzi Kweli na Nando "BBA"

-->


Benadicta Galley ni Mama wa Mshiriki wa BBA The Chase Kutoka Nchini Ghana, Selorm maarufu kama Selly ambaye wiki iliyopita alionekna na Kamera za siri ndani ya jumba hilo akiwa amejifunika katika Blanket na Mshiriki Kutoka Tanzania Nando kwa takribani takika kumi hivi huku wakijificha wasionekane nini hasa kinafanyika zaidi ya mitikisiko kitandani hapo.

Mama huyo amesema kwamba binti yake amelelewa katika maadili na hawezi kufanya ujinga kama huo wakati anajua anaonekana, kilichotokea ni kitendo cha kawaida cha washiriki wa Jumba hilo kuingia na kuongea ndani ya Blanket moja pamoja mwanaume na mwanamke.

Upepo Unapomuumbua Amber Rose

-->
Sexy Model Amber Rose ambaye ni Mpenzi wa Wizzy Khalifa akiwa katika Red Carpet ya BET Awards 2013 alijikuta akiachia sehemu za nyuma wazi baada ya kushambuliwa na upepo ulioishinda nguvu sketi yake.

Angalia Gauni alilovaa Rihanna katika uzinduzi huko Ufaransa

-->

-->
Mwangalie Mpenzi wake Chriss Brown akiwa amevaa gauni lenye mandhari ya shati refu, kama anavyoonekana katika picha akiwa katika tamasha huko Nchini Ufaransa.



Cheki Picha za Show ya Diamond Pale Mwanza, the Rock City

-->

 

Hizo ni Shangwe za Mini Kabaaang!! ya Tigo ndani ya Mwanza.



Silaha hatari kama kawaida yao wakianza taratibu.....Mpera Mpera tu
hadi kieleweke''



Haya sasa ni mwendo wa nyoka nyoka tu.......
wataelewa sasa hivi au wataelewa baadae...?






Rama Mpauka akimseti roboti wake 
ikafika time ya the prezident kuingia........
Nikistaajabishwa na shangwe na umati wa watu waliokuwa
wamefurika uwanjani pale pale tu nilipotokea uwanjani





....hapo sasa yanii....afe kipa afe beki lakini ushindi lazima....





Kaskazini mwa uwanja wa ccm kirumba umati
 wa watu waliofurika wakishuhudia
 amsha amsha ya wasafi








nimpende nani sasaaa...........???


Aya sasa....Nilikuwaga na nani zamani.....???? Alafu akafanyaje.....??
Leo nataka mtoto wa mwanza kunitibu maradhi nayougua



hakika nilikumbuka kigoma............







siwasikii..etiii??

Mwanamuziki Selena Gomez Apandaa Stejini bila "Chupi"

-->
Kweli hawa wasanii wa nje hamnazo, juzi juzi, Girlfriend wa Justine Bieber, Mwanadada Selena Gomez aliamua kuweka Headlines kwenye media pale alipoanda stejini na kuanza ku perform huku sketi aliyovaa ikionesha kutopata support ya chupi kwa ndani kama picha zinavyoonesha.


Mambo ya Soka na Obama

-->
--> Katika Kukamilisha Ziara Yake Nchini Tanzania, Rais Obama alitembelea Kiwanda cha Nishati cha Symbion Ubungo, hapo tunaona Mzee Obama akionesha madoido kwa kuupiga mpira maalum kwa kichwa na danadana, mpira huo unauwezo wa kuzalisha Nishati ya Umeme ambayo huweza kutumika kuchajia simu na kuwasha taa,
na huchajiwa ukiwa unadunda dunda.

Kama Shemeji amefikia hivi Jiandae....!!!

Though inachekesha lakini hebu vuta picha ndo mkeo kashafikia hatua ya kuvaa size kama hiyo, basi kaka yangu jiandae kwa mengi, miongoni mwa hayo ni ugomvi na wanaume wenye macho kodo, gharama za ziada za usafiri ili kujilinda na mengine kibao.

Wapenzi wafariki wakati wakifanya Mapenzi!!!

Watu wawili (wapenzi) wamefariki huko China
baada ya kuanguka kupitia dirishani baada ya kioo walichokuwa wamekiegemea kuvunjika wakati wanafanya mapenzi. Miili yao ilikuwa imatapakaa dama huku ikionesha ni jinsi gani walivyofikia.

Msanii wa Picha Ngono Atangaza wadau wamtumie Picha za "MAUMBILE" Yao

Yule muigizaji asiye na haya wa picha za ngono huko Nigeria, maarufu kama Afro Candy, ameandika katika Twitter Page yake kwamba anahitaji wadau wapige picha "MAUMBILE YAO" na kisha kumtumia huku akiwatahadharisha watu kutopiga picha "Dudu" za wengine kwani utapohitajika kwa ajili ya usaili halafu wasione kilichokuwa katika picha itakuwa tabu.



 Angalia Alichosema

Msanii JB Ala shavu


Na Denis Mtima
MWIGIZAJI Bora wa Kiume Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amefuatwa na mastaa Wazungu kutoka Ulaya nchini Norway.
Hivi karibuni, Ijumaa Wikienda lilimnasa JB akipigwa na baridi usiku wa manane kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar ambapo alipoulizwa kulikoni alisema kuna waigizaji kutoka Norway wanaokuja kumfuata hivyo anawasubiri.
Alisema: “Kuna waigizaji Wazungu kutoka Norway wanakuja kunifuata, nimekuwa nikiwasiliana nao kwa muda mrefu, mwanzoni nilisita kwa kuwa nilikuwa siwajui. Baadaye nilijiwa na mawazo kwamba kwa nini nisiwatafute mtandaoni? Kweli nilipoingia mtandaoni na kutafuta majina yao niliwapata.
“Wapo wawili, majina yao ni Bard Yuvis Akir na Vega Uvisakir, waliniambia wanakuja kunichukua nikafanye nao kazi za filamu kwao, nikimaliza Tamasha la Matumaini tutarekodi filamu moja hapa nchini ndiyo tuondoke.”
wakati mazungumzo yakiendelea, JB aliitwa kwenye mlango wa kutokea uwanja wa ndege na kuwapokea wageni wake kisha kutimua eneo hilo.

Source:- Global Publishers

Obama Atua Dar, Kukutana Na Bush Kesho


Rais wa Marekani, Barrack Obama amewasili jijini Dar Es Salaam leo majira ya saa nane mchana na kupokelewa na mamia ya wananchi pamoja na viongozi mbali mbali wa serikali huku kukiwa na ulinzi mkali kutoka vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania na Marekani. Katika ziara yake hiyo yenye lengo la kuongeza na kukuza ushirikiano wa kibiashara baina ya Nchi zinazoendelea na mataifa yaliyoendelea.


 Rais Obama anatarajia kutembelea kiwanda cha uzalishaji umeme cha Symbion  cha Wamerekani, ziara hiyo imekuja miezi mitatu baada ya ziara ya Raisi wa China, ikionesha ni jinsi gani mataifa haya yamo katika ushindani wa kibiashara na rasilimali kutoka katika nchi zinazoendelea, hususani Tanzania. Rais Obama pia anatarajia kukutana na Rais Mstaafu George Bush ambaye yupo Nchini kwa ajili ya Taasisi yake na pia wawili hao wanatarijia kuonana kwa ajili ya kuweka mashada ya kumbukumbu ya watu waliofariki kutokana na milipuko ya mabomu katika ubalozi wa marekani mwaka 1998.

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga