Latest
Tafuta Hapa
Kali za Facebook
Labels
- Agness Masogange (5)
- Aisha Bui (1)
- Ajali (5)
- Ali Kiba (5)
- Aunty Ezekiel (8)
- Baby Madaha (2)
- Batuli (2)
- Bob Junior (2)
- Bongo Flavor (35)
- Bongo Movie (46)
- Chriss Brown (1)
- Dawa za Kulevya (2)
- Diamond Platnumz (47)
- Drake (1)
- Dully Sykes (1)
- Elizabeth Michael (3)
- Escrow (9)
- featured (24)
- Fumanizi (11)
- Gardner (1)
- Geor Davie (1)
- Global Publishers. (18)
- Habari Picha (78)
- Habari za Kimataifa (209)
- Habari za Kitaifa (216)
- Halima Ally (1)
- Hamisa Mobeto (1)
- Huddah Monroe (1)
- Irene Uwoya (3)
- Jacqueline Wolper (4)
- Jamii Forums (79)
- Jokate (1)
- Kajala Masanja (5)
- Lady Jay Dee (6)
- Lilian Kamazima (1)
- Lulu (5)
- Magazeti na Picha (2)
- Mainda (1)
- Maisha (66)
- Malick Bandawe (2)
- Mapenzi (197)
- Maunda Zorro (1)
- Michezo na Burudani (72)
- Miss Tanzania (9)
- Mpira (6)
- Mr Blue (1)
- Muziki (12)
- Mwana Fa (1)
- Ney wa Mitego (1)
- Nyota wa Bongo (120)
- Ommy Dimpoz (9)
- Original Comedy (1)
- P Square (1)
- Picha za Utupu (46)
- Ray C (1)
- Rihanna (1)
- Rose Ndauka (2)
- Sabby Angel (2)
- Shetta (1)
- Shilole (3)
- Sitti Mtemvu (6)
- Udaku Magazetini (37)
- Udaku wa Africa (234)
- Udaku wa Tanzania (253)
- Udaku wa TZ na Africa (21)
- Udaku wa Ulaya (189)
- Ufuska (152)
- Uhuru Kenyatta (1)
- Ujana (35)
- Urembo (11)
- Uswazi. (32)
- Video (9)
- Wasanii (54)
- Wema Sepetu (36)
- Zari The Boss Lady (29)
- Zitto Kabwe (1)
Feature
Udaku wa Africa
Habari za Kimataifa
Habari za Kitaifa
Mapenzi
Michezo na Burudani
Udaku wa Ulaya
Mkali wa Bongo fleva, Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond akipozi.
ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wazazi wake walimpa jina la Nasibu wakiamini ni la bahati.
Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo mengi ya maisha yake. Diamond akiwa hajapata ufahamu, yaani bado mdogo, wazazi wake walitengana kwa sababu ambazo bado hazijawa wazi na baba yake kumuacha na mama.
Kufuatia hali hiyo, ilibidi mama yake ahamie kwa mama yake mzazi (bibi wa Diamond), Tandale Magharibi, Dar. Hapo ndipo yakawa makazi ya mama huyo na mwanaye.
Mnamo mwaka 1995, Diamond alianza elimu ya awali katika Shule ya Chakula Bora iliyopo Tandale- Uzuri. Mwaka 1996 alianza elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Tandale- Magharibi iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mwaka 2000, Diamond akiwa darasa la tano alianza kupenda muziki, hivyo akawa anakopi baadhi ya nyimbo za wasanii waliokuwa wakihiti ndani na nje ya Bongo na kuimba yeye katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa kuliona hilo, mama yake alianza kumnunulia kanda za albamu za wasanii tofauti hata kumwandikia baadhi ya nyimbo za wasanii hao ili mwanae aweze kuzishika na kuimba kirahisi.
Diamond alizidi kuupenda muziki ikabidi mama yake awe anampeleka kwenye matamasha mbalimbali ili mwanae apate nafasi ya kuimba.
Baadhi ya ndugu walimjia juu mama huyo wakidai anamharibu mtoto badala ya kumuhimiza masomo anamwingiza kwenye muziki ambao walidhani haukuwa na faida yoyote.
'Diamond Platinumz'
“Kusema ukweli pamoja na yote hayo, hali ya maisha ilikuwa si nzuri kwa mama maana hakuwa na kazi ya maana wala vyanzo vikubwa vya fedha, hivyo ilibidi atumie kiasi kidogo alichokipata kutoka kwenye kodi ya vyumba viwili alivyopewa na bibi ili kunisomesha,” alisema Diamond.
CHUMBA KIMOJA NA MAMA
Diamond aliendelea kusema kuwa, kutokana na kupangisha vyumba viwili ilibidi yeye na mama yake kuhamia kwenye chumba cha bibi yake na maisha yakaendelea humo.
AMALIZA SHULE YA MSINGI
Mwaka 2002, Diamond alimaliza masomo ya elimu ya msingi lakini ili aende sekondari, mama yake alimwambia aachane na habari ya muziki azingatie masomo aweze kupata elimu itakayomsaidia mbele ya safari katika maisha.
AFANYA MUZIKI KWA SIRI
Nyota huyo aliendelea kusema kuwa akiwa sekondari, aliendelea kuimba muziki lakini kwa siri kubwa ili mama yake asijue.
Mwaka 2004, anasema alianza kuandika nyimbo zake mwenyewe kwa kuwa akili bado ilimwambia mafanikio yake yatapatikana huko.
AFANYA VIBARUA APATE PESA
Mwaka 2006, Diamond alimaliza elimu ya sekondari na kuanza kuimarisha ndoto yake ya kuwa mwanamuziki.
Alikuwa hana kazi ya kufanya nyumbani hivyo alianza kutafuta vibarua mbalimbali vya kumuwezesha kupata riziki ya siku. Miongoni mwa kazi hizo ni kuuza mitumba, kuweka mafuta kwenye magari (vituo vya mafuta), kupiga picha, kupigisha simu na kazi za kwenye viwanda mbalimbali.
NAY NA "AKADUMBA" NI HATAREE
Ney wa Mitego, Nyota wa Bongo, Udaku wa Africa
Nay wa mitego hii sasa ni zidi ya Akadumba.Msanii Nay wa mitego amekuwa akiposti picha akiwa na Hot bebez tofauti tofauti na kuandika baadhi ya vipande vya wimbo wake mpya wa akadumba.
Wiki hii Nay ameposti picha ikimuonesha akiwa na mrembo bomba kisha na kuandika yafuatayo.
"Jinsi ulivyojaza nyuma kitaani napata Lawama,
Ona Sili Silali nikilala kitumbo chali..,
Unapokuwa mbali natamani kufunga safari..,
Lol Hii kweli ni Akadumba
BLUE "KAMA SIO NGOMA YA "PESA" GAME INGEKUWA BASI
Bongo Flavor, Mr Blue, Nyota wa Bongo, Udaku wa Africa
Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo alidai kuwa kama ngoma yake ‘Pesa’ ingebuma, angeachana kabisa na muziki na kuzamia Ulaya.
“Pesa kama Pesa ilikuwa ni project yangu ya mwisho,” alisema Kabayser. “Nilikuwa nimeshakata tamaa. Vitu vingi vilikuwa vinanisumbua, nilikuwa naplan kidogo niwakimbie watanzania nikatulie Uingereza. Nyumba yangu ilikuwa ipo kwenye finishing na itahitajika kama milioni 25 nimalize au 30 labda, nitaipata wapi hiyo hela, ikiwa mimi kazi yangu ni muziki? Ndioa Mungu akanisaidia nikatoa lile jiwe Pesa. Kwa mapenzi ya mwenyezi Mungu ikawa ni balaa,” aliongeza.
“Sasa baada ya kupata ile pesa ikabidi nichague nimalizie nyumba yangu au nitoe video watu wanijue kama huyu ni Mr Blue! Kwahiyo hela yangu yote nawashukuru Serengeti Fiesta naomba niseme wazi kabisa ni watu ambao wamenisaidia hilo tatizo. Kwasababu hela hiyo yote niliipata kwenye Fiesta.”
Kuhusu video ya Pesa, Blue alidai kuwa Adam Juma alishoot video ya Pesa bure, bila kumpa chochote.
“Adam Juma from nowhere, ni mtu ambaye sikuwahi kufikiria nitafanya naye video. Nilishajaribu kutaka kufanya naye lakini mipango ikawa haikamiliki. Alinipigia simu mwenyewe namshukuru sana Adam Juma na Mungu akusaidie kwa kunipa video bure kabisa! Yaani video kila kitu bureee kabisa. Mimi nasema kuishi na watu kwa upendo ndo zimefanya hivyo ninaweza kusema ni zawadi.”
Credit: Bongo5.com
DULLY SYKES AELEZEASABABU YA KUREKODI WIMBO WA MATUSI NA MAUNDA ZORRO
Dully Sykes, Maunda Zorro, Nyota wa Bongo
Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matusi yasiyoweza kuandikika gazetini kuanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao , msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amefunguka kuwa halikuwa kusudio lake kuachia wimbo huo bali ulivuja kwa bahati mbaya mitandaoni.
Akipiga stori na Showbiz juzikati, Dully alisema kuwa wimbo huo aliomshirikisha mwanadada Maunda Zorro, aliurekodi miaka nane iliyopita kwenye studio yake ya Dhahabu Records na hakupanga kuutoa lakini kwa bahati mbaya ukavuja na kuingia mitandaoni.
“Siyo mpya, ni wa kitambo sana, nilirekodi miaka nane iliyopita nashangaa kwa nini watu wanafikiri ni mpya,” alisema Dully lakini alipoulizwa hata kama ni wa zamani kwa nini alirekodi wimbo wenye maneno ya kuhamasisha ngono, hakuwa na majibu.
Licha ya utetezi wake huo, wimbo huo unaonekana kuwa mpya kwani sauti ya Dully inafanana na ya kwenye nyimbo zake mpya za hivi karibunZARI THE BOSS LADY, DIAMOND PLATINUMZ, MAHABA NIUE TU.
Diamond Platnumz, Mapenzi, Zari The Boss Lady
Wataalamu wa mambo wamepitisha kuwa hakuna haja ya kumlaumu Diamond Platnumz kwa kuamua kupigana chini na Wema Sepetu na kuanzisha uhusiano mpya na mrembo tajiri Kutoka nchini Uganda Zarina Hassan "Zari" kwa kuwa mrembo Zari ni mzuri sana so angeweza kumdatisha Mwanaume yeyote yule na Si Diamond Tu.
JOKATE ALAMBA SHAVU
Bongo Flavor, featured, Nyota wa Bongo
Baada ya Salama Jabir kupata shavu la kuwa na show kwenye kituo cha runinga cha Maisha Magic, sasa ni zamu ya Jokate Mwegelo. Mtangazaji huyo anatarajiwa kuongeza show yake ya tatu katika TV (baada ya The One Show ya TV1 na Top 10 Most ya Channel O), itakayoanza kuonekana kupitia Maisha Magic, December mwaka huu.
Jokate atashirikiana na mtangazaji maarufu wa Uganda, Gaetano Kagwa kuendesha kipindi hicho kiitwacho Beat the Challenge.
Beat the Challenge ni kipindi kitachokuwa kikihusisha mashindano ya familia 12 (baba, mama na watoto wao wenye umri kuanzia miaka 12 hadi 17) wataokuwa wakihusika kwenye kazi mbalimbali na kuulizwa maswali kuhusu uelewa wa masuala mbalimbali.
Show hiyo itaanza kuonekana kupitia Maisha Magic (DSTV CHANNEL 161(, Jumamosi ya December 13, saa 2 na nusu usiku. Usaili utafanyika Nairobi November 22, Supersport Studios, Tanzania ni siku hiyo hiyo New Africa Hotel Dar es Salaam na Kampala utafanyika Silver Springs Hotel Kampala,kuanzia saa tatu asubuhi.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Popular Posts
-
Baada tu ya chumba cha binti huyu ambaye ni mtoto wa mjomba tunayeishi nae hapo nyumbani kuna chumba cha kujisomea ambacho mara nyingi huwa ...
-
Miongoni mwa kampuni kubwa za Movie za Ngono zimejipanga kwenda Mahakani kupinga pendekezo la Sheria mpya ya kuwataka wahusika wake kuvaa...
-
Hebu jionee mwenyewe picha ya bi mkubwa huyo, udenda unamtoka akilazimisha kutoa "nanii" ya huyo mvulana ili "ampige mambo ye...
-
Pengine baadhi yetu tumewahi kuisikia au kuona mambo ya baikoko. Ni mitindo ya kunengua na kukata mauno kwa wenyenji wa Tanga wanajua zaidi....
-
Nicki Minaj sio mtu wa aibu kwa kujionyesha umbo lake matata kwa mavazi na mitindo ambayo huwa anatoka nayo. Mwanamuziki huyo mara zote ame...
-
--> Hayo si maneno yangu bali ni maneno ya wapenzi hao wawili, ambao walisema siri kubwa ya uhusiano wao kuwepo hadi leo ni kufanya mapen...
-
Rais Jakaya Kikwete (wa nne kutoka kulia mstari wa pili) akiwa na mkewe mama Salma Kikwete katika ibada ya Kumbukumbu ya Kifo cha aliyekuwa...
-
Haya limerudi tene lile shindano la kuwaacha hoi na kuwaacha uchi washiriki wengi katika jumba la Big Brother, ambapo safari kutakuwa na was...
-
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kustaafu leo kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabi...
Labels
Agness Masogange
Aisha Bui
Ajali
Ali Kiba
Aunty Ezekiel
Baby Madaha
Batuli
Bob Junior
Bongo Flavor
Bongo Movie
Chriss Brown
Dawa za Kulevya
Diamond Platnumz
Drake
Dully Sykes
Elizabeth Michael
Escrow
featured
Fumanizi
Gardner
Geor Davie
Global Publishers.
Habari Picha
Habari za Kimataifa
Habari za Kitaifa
Halima Ally
Hamisa Mobeto
Huddah Monroe
Irene Uwoya
Jacqueline Wolper
Jamii Forums
Jokate
Kajala Masanja
Lady Jay Dee
Lilian Kamazima
Lulu
Magazeti na Picha
Mainda
Maisha
Malick Bandawe
Mapenzi
Maunda Zorro
Michezo na Burudani
Miss Tanzania
Mpira
Mr Blue
Muziki
Mwana Fa
Ney wa Mitego
Nyota wa Bongo
Ommy Dimpoz
Original Comedy
P Square
Picha za Utupu
Ray C
Rihanna
Rose Ndauka
Sabby Angel
Shetta
Shilole
Sitti Mtemvu
Udaku Magazetini
Udaku wa Africa
Udaku wa Tanzania
Udaku wa TZ na Africa
Udaku wa Ulaya
Ufuska
Uhuru Kenyatta
Ujana
Urembo
Uswazi.
Video
Wasanii
Wema Sepetu
Zari The Boss Lady
Zitto Kabwe















